Ugonjwa wa Kifafa Uliniletea Upweke, Marafiki Wote Pia Mke Walinikimbia


Niliishi mjini Namanga ambapo nilikua na biashara mbalimbali za kuuza nguo kwenye mji huo  uliokua kitovu kizuri cha biashara kwa kua ulipatikana mpakani. Nilikua mwana peke katika  familia yetu. Maisha yalikua mazuri kwani nilikua buheri wa afya, kijana mtanashati aliyekua  miraba mine. Biashara ilinipeleka vizuri maana wateja walivutiwa sana na nguo nilizokua  nikiziuza. Kila mtu mjini alinigundua kwa ueledi wangu wa kuvutia wateja. Ama kwa hakika  biashara ilkua ndio wito wangu. Baada ya miaka mitatu hivi nilianza kuathiriwa na kifafa. Siku  moja nilipokua nawahudumia wateja wangu nilianguka chini kwa kishindo povu jeupe likatoka  mdomoni huku nikitingika mithili ya kuku aliyekatwa shingo. Wateja wangu walichana mbuga  kwa kile walichodhania kuwa nilikua nimeshikwa na kichaa. Jambo hili liliadhiri biashara yangu  ambapo wateja wengi walisusia kuja dukani mwangu kununua bidhaa zangu kwani waliniita  mwenda wazimu. 

Kadri muda ulivyokua ukisonga ndipo mambo yalivyokua yakizidi kua mabaya hata zaidi. Mke  wangu ambaye tulikua tumekaa kwenye ndoa kwa muda wa mwaka moja hivi alinikimbia. Nilibaki kwenye upweke kwa kua hakuna aliyetaka kusonga karibu na mm kwa kuwa wengi  walisema nigewaambukiza ugonjwa huo wa kifafa. Marafiki pia walinitenga hali iliyoniongezea  upweke hata zaidi. Kila mahali nilipotembea watu walinitenga huku wengine wakinisengenya  hadharani kuwa nilikua na kichaa. Ilinibidi nifunge biashara yangu ya uuzaji nguo kwa sababu  sikua na lingine la kufanya ila kubaki nyumbani kwani kila nilipoeenda kwenye biashara kifafa  kilinilemea na ningejipata nimezirai na hakuna aliyekua akija kunisaidia kwa hofu ya kwamba  ningewaambukiza ugonjwa ule. Nilitembea katika hospitali kadhaa bila ya mafanikio. Jambo  nililopata katika hospitali nilizotembea ni ushauri tu na dawa za kupunguza makali ya alama  nilizokua nimepata baada ya kuanguka kifafa mara kadhaa. Wazazi wangu walinitenga huku  wakikiri kua hakuna mtu yeyoye kwa familia ile alikua na kifafa. Walitaka niweleze jinsi  nilivyopata ugojwa ule. Sikua na yeyote ambaye ningekimbilia kwa usaidizi kwani ugojwa huo  ulikua dondo sagu lisilo tiba.

Wakati mwingine nikiwa chumbani mwangu nilianguka tu kwenye viombo. Niliangukia chakula  nilichokua napika kwenye meko wakati mwingine. Siku moja ugonjwa huu ulinisukuma sana  nigaagukia maji ambayo nilikua napasha moto kwenye stovu. Stovu ilipuka ikanichoma kwenye  kifua na kwenye uso. Hali ilikua ni hii kwa muda sasa. Wakati mmoja nilianza kujutia mbona  nilizaliwa humu duniani na nikaanza kupanga mikakati ya kujitoa uhai kwa vile sikua na  linguine la kufanya kwani kifafa kilikua kimenizidi kwa muda sasa. Nillitembelea waganga  kadha wa kadha nchini ili kukomesha ugonjwa ule lakini mambo yalizidi kua mabaya hata zaidi. Nilijaribu maombi amabapo nilitembea kwenye makanisa mbalimbali na mikutano ya makanisa  kwa ajili ya upoyaji lakini hilo halikutendeka kamwe. Hamna ata siku moja nilifikia kupata  nafuu. 

Siku moja nilipokua nimeshika kamba chumbani mwangu tayari kujinyoga, mlango ulibishwa  kwa kishido. Sikuufungua kwa vile nilikua katika harakati za kusema maombi yangu ya mwisho  kabla ya kujitia kitanzi. Baada ya muda mfupi mlango ule ulivujwa. Alikua rafiki yangu Jeff  aliyekua amefika kunijulia hali. Alipigwa na butwaa kwani nilikua na kamba shingoni tayari  kujinyonga. Alikata kamba ile na kuniarifu kua angenisaidia kupata tiba itakayonimalizia  ugonjwa wa kifafa. Alinelezea kua madaktari wa Kiwanga wangemaliza kabisa kuteseka  kwangu. Asubuhi iliyofuatia tulirauka na Jeff hadi kwenye ofisi za madaktari wa Kiwanga  ambapo nilihudumiwa bila kupoteza muda. Siku mbili baada ya kurejea nyumbani, kifafa kilikua  kimeisha kabisa. Sikuanguka tena tangu siku ile. Nilifungua biashara yangu tena baadaye mke  wangu akarudi. 

Mtu yeyote ambaye ana matatizo yanayotokana na ugonjwa wa kifafa anaweza tembelea  madaktari wa Kiwanga kwa kuwa madaktari hawa ni wakutegemewa na wepesi katika  kusuluhisha shida mbalimbali. Wanashughulikia matibabu ya kimapenzi, uchawi na mengineo  kwa muda wa siku tatu tuu. 

Watembelee leo upate suluhu. 

Wavuti www.kiwangadoctors.com 

barua pepe kiwangadoctors@gmail.com 

pia waweza kupiga simu kwa nambari +254 769404965.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad