Umber Lulu "Mimi Pesa tu Mapenzi Hayajawahi Nitendea Haki"




Mwanamuziki na HitMaker wa ngoma ya Nimeachika @iamamberlulu amefunguka kuwa kutikana na aliyopitia kwenye mahusiano kwa sasa haamini katika hilo bali anaamini katika pesa.

Kulingana na mahojiano yake na kipindi cha AlaZaRoho ya clouds FM Amber ameweka wazi kwamba kwa sasa hakuna jambo ambalo unaweza kumdanganya, kulingana na maumivu aliyopitia kwenye mahusiano hivyo kwa ngazi aliyofika anahitaji zaidi pesa kuliko mapenzi na kueleza kwa sasa yupo single/hayupo kwenye mahusiano.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad