Utalii Tanzania Kumekucha..Star Mkubwa wa Movie za Kihindi Atua Tanzania..Apokelewa na Waziri


Msanii nyota wa Filamu za Bollywood, Sanjay Balraj Dutt amewasili nchini Tanzania leo Novemba 6, 2021.

Msanii huyo amepokelewa na Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Mhe. innocent Bashungwa ambapo kabla ya mambo mengine walipata nafasi ya kuzungumza mambo mbalimbali kuhusiana na ujio wake.

Sanjay Dutt atatembelea maeneo mbalimbali ya kitalii ikiwemo Zanzibar, ambapo itakumbukwa mwaka 2017 msanii huyo mkongwe alikuja Tanzania na kufaya utalii katika maeno mbalimbali.

Filamu ipi ya #SanjayDutt Unayoikubali Zaidi !?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad