Usiku wa kuamkia leo hii ulikua mzuri kwa mwanamuziki 'Ayodeji Ibrahim Balogun maarufu kama @wizkidayo baada ya kubeba tuzo 3' kwa mpigo za #Afrima2021 ambapo sherehe za utoaji wa tuzo hizo zilifanyika 'Lagos Kusini Magharibi mwa Nigeria usiku wa kuamkia leo kwa saa saa afrika mashariki.
BigWizy ameondoka na tuzo ya Wimbo bora wa ushirikiano ,Msanii bora wa mwaka na wimbo bora ya mwaka #essence.
•Best Collaboration - Essence
•Artiste Of The Year - Wizkid
•Song Of The Year - Essence
Wasanii wengine walioshinda tuzo hizo ni pamoja na @2niteflavour 🇳🇬 @diamondplatnumz 🇹🇿 & @fallyipupa01 🇨🇩 - katika kipengele cha Best Artist or Duo in African Dance or Choreography kupitia wimbo wa #Berna, Best African Fans Favorite 2021 - iliyokwenda kwa @fireboydml ,na wengine wengi.
✍🏾@keviiiy.iam