Yanga Yakubali Yaishe Kwa Morrison Yampa Kitita Milion 12 Iliyoamriwa Kumlipa na Cas


Uongozi wa klabu ya Yanga umesema kuwa tayari umemlipa kiungo wao wa zamani Bernard Morrison faini ya Tsh milioni 12 walioamliwa kumlipa na Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) baada ya kushindwa kesi ya rufaa.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad