Zinedine Zidane kwa mara nyingine tena amekataa ofa ya kuwa Kocha mpya wa Manchester United


Zinedine Zidane kwa mara nyingine tena amekataa ofa ya kuwa Kocha mpya wa Manchester United.Sababu zikiwa ni kutoweza kuzungumza lugha ya Kiingereza na mke wake hataki kuishi kwenye jiji la Manchester.

Soma baadhi ya Comments za wadau kutoka twitter:

Itoshe kusema..hayuko tayari kwenda kudhalilika huko😅

Kweli  kabisa waingereza wanazalauu sana zidane huwezi kwenda pale zizu anajua

Bora kaepuka aibu!. Maana wangemfukuza tu next season

Kiufupi Jamaa Hana Msimamo anaendeshwa na Mke wake


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad