Ali Kiba Amkataa Harmonize "Sio Rafiki Yangu na Wala Hatujawahi Kuwa Marafiki"


Kwenye Interview Hiyo Pia #KING @officialalikiba Aliulizwa Kuhusu Msanii @harmonize_tz Ambaye Siku Za Hivi Karibuni Aliweka Wazi Mambo Aliyopitia Wakati Alipotaka Kuondoka Label Yake Ya Zamani #WcbWasafi.

Mwandishi Huyo Aliuliza #ALIKIBA Akiwa Kama Rafiki Wa Karibu Na Msanii Huyo Kwake Suala Hilo Ameliona Kama Lipo Sawa Au Alikosea Kufanya Vile.

#KING Alijibu Swali Hilo Kwa Kusema..."#HARMONIZE Sio Rafiki Yangu Wa Karibu Na Wala Sio Rafiki Yangu, Mimi Namekutana Naye Mara Moja Tu, Lakini Vilevile Nisingependa Kumzungumzia Kwa Sababu Hatu Mazoea Ila Ni Msanii Mwenzangu Mtanzania Ambaye Anawakilisha Vizuri Bongo Fleva''

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad