BREAKING| Klabu ya Simba imezindua rasmi KAMPENI ya kuchangia ujenzi wa uwanja


BREAKING| Klabu ya Simba imezindua rasmi KAMPENI ya kuchangia ujenzi wa uwanja. Kampeni hiyo inaitwa SIMBA YETU, UWANJA WETU.

Mtendaji Mkuu wa Simba @bvrbvra na Mwenyekiti wa Wanachama Bw. Murtaza Mangungu kwa pamoja wamezindua kampeni hiyo.  
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad