Davido ametangaza Kusaini Dili Nono la kuwa Balozi wa kampuni Maarufu ya Mavazi ya Michezo duniani


Davido ametangaza kusaini dili nono la kuwa balozi wa kampuni maarufu ya mavazi ya michezo duniani PUMA. Mkali huyo toka nchini Nigeria atakuwa na jukumu la kuitangaza kampuni hiyo kwenye soko la Afrika ambalo linakuwa kwa kasi.


Kwa mujibu wa ripoti, inaelezwa kuwa Davido pia atakuwa na jukumu la kuitangaza PUMA kwenye eneo la kusini mwa jangwa la Sahara, Amerika ya Kaskazini na dunia kwa ujumla. Davido atakuwa akivaa mavazi ya kampuni hiyo kama miongoni mwa makubaliano yao na pia kufanya matangazo ya michezo kama mpira wa Kikapu na mpira wa Miguu

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad