"Unaenda Hotel na mwanaume,wewe mwanamke ndio unalipa bill,mnatoka out wewe ndiyo unagharamia,unampenda mpenzi wako,hadi mahari ya kukuoa unamchangia,shtuka!huyo ni "Mariooo",akikuoa unamuandikisha hadi hati ya nyumba yako,mwanamke ni kiumbe wa kupewa na si kutoa-Godwin Gondwe ggondwe
Tangaza Biashara yako nasi 0714604974