Huddah Monroe "Nachaji Sh Milioni 23 Kufanya Appearance Kwenye Club Kwa Masaa Matatu"


Unamtaka #HuddahMonroe kwenye club yako? Jipange!

Ni kwasababu mrembo huyo wa Kenya mwenye makazi yake Dubai, sio cheap hata kidogo.


Amefunguka kuwa ili kufanya appearance kwenye club, $10,000 ambazo ni takriban shilingi milioni 23 za Kitanzania lazima ziwekwe mezani.


Na tena, hakai hadi kunakucha, ni kwa saa tatu tu kisha anaondoka.
Ila, kama bata ni la nguvu aka lit, well, anaweza kukaakaa kiasi.

There you go!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad