Ikiwa Bado Tuko Na Week Ya Ukimwi Duniani #jicholauswazi Tunae Mda Wetu Kutokea Nchini Kenya @doreen_moraa_moracha Ambae Amejikita Katika Kuieleimisha Jamii Kuhusu Maswala Yahusuyo Vvu/Ukimwi Doreen Ni Binti Aliezaliwa Akiwa Na Maambukiza Na Ameisha Maisha Hayo Toka Akiwa Mtoto Na Sasa Akiwa Ni Binti Mkubwa Kabisa
Hii Inamaana Kua Kuishi Na virusi vya ukimwi Sio Mwisho Wa Maisha Yako Hivyo Kupaswi Kujiona Tofauti Tokana Na Hali Ya kua na Ukimwi.