Kamati Kuu CCM Yawaita Pole Pole, Silaa na Gwajima



Kamati Kuu ya Halmashauri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Tanzania, Samia Hassan Suluhu imekutana leo na kujadiliana mambo kadhaa.


Pamoja na mambo mengine kamati hiyo imewaita wanachama na viongozi wake, Jerry Silaa, Josephat Gwajima na Humphrey Polepole.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad