Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo , Zitto Kabwe amethibitisha kukutwa na Corona baada ya kuugua mafua


 Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo , Zitto Kabwe amethibitisha kukutwa na Corona baada ya kuugua mafua.

Zitto amesema-kuwa chanjo aliyopata imemsaidia kutopata madhara makubwa hivyo kuwataka watu wasiochanja wakapate chanjo, kuvaa barakoa na kunawa mikono mara kwa mara.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad