Klabu ya Simba SC imepanga kugoma kucheza mechi ya kesho dhidi ya Yanga


Klabu ya Simba SC imepanga kugoma kucheza mechi ya kesho dhidi ya Yanga SC katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ikiwa uwanjani kutakuwa na mabango ya GSM.  Inaelewezwa kuwa tayari mabango ya GSM yapo katika uwanja wa Benjamin Mkapa, utakapopigwa mchezo huo hapo kesho majira ya Saa 11 jioni. 

Leo Disemba 10, 2021 uongozi wa klabu hiyo kupitia kwa kitengo cha habari kinachoongozwa na Ally Shantri ‘Chico’ wamegoma kufanya kikao cha kocha na waandishi wa habari kisa bango lenye nembo ya GSM.

Kitengetv

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad