Makubwa..Wananchi Korea Kaskazini Wazuiwa Kucheka na Kufurahi Kwa Muda wa Siku 11



Serikali ya Korea Kaskazini imepiga marufuku Wananchi wake kucheka, kunywa pombe na kufanya sherehe yoyote kwa muda wa Siku 11 ikiwa ni maadhimisho ya Miaka 10 tangu kufariki kwa Kim Jong II
-
Kim Jong II alikuwa Rais wa Korea Kaskazini kutoka Mwaka 1994 mpaka 2011 alipofariki kwa Ugonjwa wa Moyo akiwa na miaka 69. Nafasi yake ilichukuliwa na Mtoto wake Kim Jong Un anayeongoza mpaka sasa.

#JamiiForums

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad