Baada ya kuwatilia sumu watoto wake watano hali iliyosababisha watoto wawili kufariki dunia, mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina Veronika Gabriel (30) mkazi wa Kijiji cha Mwambagaru kilichopo Kata ya Buseresere wilayani Chato Mkoa wa Geita amesema anajutia kutenda jambo hilo nakusema hakudhamilia kuua watoto wake bali ugumu wa maisha pamoja na kutengwa na ndugu zake kulikumfanya akate tamaa ndipo akajikuta anafanya tendo hilo,
Mama Aliyewanywesha Sumu Watoto Wake Aeleza Chanzo Cha Tukio Akiwa Hospitali
0
December 04, 2021
Tags