Muigizaji kutoka bongomovie na mfanya biashara @munalove100 ametumia siku yq leo tarehe 12/12 kumkumbuka marehemu mtoto wake Patrck' ambae alipoteza maisha baada ya kuugua kwa muda .
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram Muna amefunguka kwa kueleza kuwa tarehe kama ya leo kama mtoto wake huyo angekua hai basi wangesherehekea siku yake ya kuzaliwa, na kumaliza kwa kuandika;
"Nakukumbuka Mtoto Wangu Mpendwa Patrick..... Pumzika Kwa Amani.”
C©. @keviiiy.iam