Watu 13 akiwemo Mkuu wa jeshi la India, Jenerali Bipin Rawat na mkewe wamepoteza maisha baada ya helicopter ya jeshi waliyokuwa wamepanda kuanguka na kulipuka leo Desemba 08, 2021 kusini mwa India.
Chanzo cha kuanguka Kwa Helicopter hiyo iliyokuwa na watu 14 bado hakijajulikana.