Mrembo Malkia Karen Afunguka Kuhusu Kutoka Kimapenzi na Rayvanny


Mwanamuziki na mtoto wa mtangazaji maarufu Nchini Tanzania @malkiakaren amekanusha madai ya kuwahi kutoka kimapenzi na mwanamuziki @rayvanny .

Karen amethibitisha hilo akijibu swali la shabiki katika insta story yake, ambapo shabiki alitaka kujua kama wawili hao wamewahi kua na mahusiano ya kimapenzi, swali ambalo mrembo huyo alijibu kwa kukataa moja kwa moja na kudai msanii huyo ni rafiki yake sana

MDAU: ✍“Ushawahi Date Na Rayvanny?”

MALKIA: ✍“Duuh Raymond Mwakyusa😂😂 hapana Kwa kweli... ila mwanangu kbs”




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad