Mtanzania Ateuliwa UN




Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres leo Desemaba 15, 2021 amteua Bi.Joyce Msuya wa Tanzania kuwa Katibu Mkuu Msaidizi wa Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Misaada ya Dharura akichukua nafasi ya Ursula Mueller wa Ujerumani.

Kabla ya wadhifa huo, Bi. Msuya alikuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa UNEP

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad