Mwanamuziki Barnaba Amjibu Eric Omondi "Bongo FLAVA Ina Nguvu Kuliko Amapiano"
0
December 28, 2021
"Nadhani Bado Bongo Flavor Ina nguvu Sana kuliko Amapino Kingine lazima Watu wajue Amapiano SIO aina Ya muziki Bali kwa lugha Rahisi Ni mixing Za Dj’s wa SouthAfrica WAKIWA Kwenye Gigis zao So haitaweza Kuuwa muziki halisi kama zook Rhumba Rege / Dans Pop Rock NK : kwasababu SIO haina Ya muziki Bali ni vionjo tu katika milindimo ya mziki ✊🏿💥💥 BONGO FLAVOR BACK 2022 : tena To the maximum Kwa Duania ✊🏿💥💥''
Tags