HomeSiasaRais Samia Amefanya Mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya Rais Samia Amefanya Mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya 0 Udaku Special December 05, 2021 Rais Samia amefanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya wawili (Moshi na Karatu) kwa kuwahamisha vituo vya kazi huku akiteua mkuu wa wilaya mmoja. Tags Siasa Newer Older