Rais Samia ateua Mwenyekiti mpya Tume ya Uchaguzi




Rais Samia amemteua Jaji Jacob Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) akichukua nafasi ya Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Kaijage ambaye amemaliza muda wake.

Rais Samia amemteua pia Prof. Khamis Dihenga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akichukua nafasi ya Prof. William Anangisye aliyemaliza muda wake.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad