Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika @simbasctanzania wamefanikiwa kufuzu kuingia hatua ya Makundi ya michuano hiyo
FT' Red Arrows 🇿🇲 2-1 Simba Sc 🇹🇿
(Aggregate : 2-4)
âš½ | Banda R. 45'
âš½ | Saddam Y. 48'
âš½ | Dilunga 67'