Ripoti ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imeonesha pombe aina ya Banana haifai kwa matumizi ya binadamu kutokana na kuongezewa kiwango kikubwa cha kemikali ya Asetic Acid
-
Serikali imefikia uamuzi ya kusitisha uzalishaji wa pombe hiyo inayotengenezwa na kiwanda cha Tanbasi Investment kilichopo Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro
-
Wilaya ya Rombo imetajwa kuwa na matumizi makubwa ya pombe zisizo rasmi ambazo zinachangia matukio ya kihalifu na migogoro ya ndoa