Viwanja vinauzwa bei nafuu tsh 4 million na luksa kulipa million 2 kwanza na million 2 italipwa kidogo kidogo ndani ya kipindi Cha miez 4.
Viwanja hivi viko Vikawe kanisa la KKKT umbali wa km 5 kutoka Baobab sec na barabara hii ya Mapinga to Kibaha tayari inakarabatiwa kwa kiwango Cha lami. Wahi ununue kabla ujenzi wa lami hii haujakamilika, viwanja vitapanda bei.
Huduma za umeme na maji ziko umbali wa mita 500 tu.
Kwa taarifa zaidi piga/whatsap simu 0757100236