Wasanii Harmonize na alikiba waungana kuishusha WCB

 


Ebanaaa hii ndio picha inayotrend hivi sasa ya wasanii harmonize na alikiba wamepiga wakiwa ndani ya ndege, hii imepostiwa kwenye ukrasa wa instagram wa harmonize inaelezwa na leo watapaform ndani ya jukwaa moja,

Hii n dalili ya ujio wa nyimbo yao ya pamoja kwa mwenendo huu nawaza kuamini jamaa wanataka kuwashusha wasafi mwaka huu na kama watatoa nyimbo wote basi itakuwa nyimbl most viewers song of all time Tanzania

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad