“Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia nimeona hasira ulizonazo dhidi ya madudu ya baadhi ya Watu Awamu iliyopita. Kwa heshima na taadhima Hata kesi dhidi ya Mhe @freemanmbowetz umeangushiwa gari bovu. Ni Kesi haina maslahi ya Taifa na inaongeza chuki kwenye Jamii bila sababu. DPP AIFUTE”- @zittokabwe
#Udaku Special Blog
TANGAZA BIASHARA YAKO: TUCHEKI WHATSAPP 0714604974