Zitto Kabwe Amuombea Msamaha Mbowe Kwa Rais Samia


Katika Mkutano wa Wadau wa kujadili hali ya Demokrasia ya Vyama vyingi nchini Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufuata sheria awezeshe Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aachiwe huru kwa nia ya kuleta muafaka wa kitaifa.

"Tupo viongozi wa vyama vya siasa hapa, na wengine hawapo kwa sababu zao, na mwingine hayupo hapa kutokana na matatizo yanayomkabali kisheria, tunakuomba Mama utusaidie kupitia taratibu za kisheria kumaliza jambo la kiongozi wetu huyo" Ndg. @zittokabwe

Tangaza Biashara yako Hapa piga Siku namba 0714604974

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad