Afrika Kweli Ngangari...Who Yadai Asilimia 85 ya Waafrika Hawajachanja Chanjo ya Covid na Tuna Peta



Mkurugenzi wa Shirika la Afya (WHO), Dkt. Tedros Ghebreyesus amesema 85% ya watu barani Afrika hawajapata hata chanjo moja ya #COVID19
-
Amesema kuna safari ndefu ya kufikia lengo la kutoa chanjo kwa 70% ya watu katika kila Nchi, na hadi sasa kuna Nchi 90 hazijafikia lengo la 40%. Nchi 36 zimetoa chanjo kwa watu chini ya 10% ya wanaopaswa kupata
-
Dkt. Tedros amesema idadi kubwa ya watu wanaolazwa hawajachanjwa. Maambukizi mengi yanamaanisha kulazwa zaidi, vifo vingi, watu wengi zaidi kukosa kazi, na hatari zaidi ya minyumbuliko mingine kuibuka


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad