Alicho andika muigizaji na mjasiriamali @wastara84 kwenye kumbukizi ya miaka 9' tangu kifo cha mume wake ambae pia alikua muigizaji wa BongoMovie #Sajuki.
“Siku kama ya leo 2/1/2013
ilibadili kabisa historia ya maisha yangu
Ni miaka 9 sasa Tokea umefariki”