Askari AmbayePicha zake Zimesambaa Mitandaoni Akila Rushwa Ameshikiliwa na Takukuru



Koplo Steven Philimoni Mchomvu ambaye picha zake zimesambaa kwenye Mitandao ya Kijamii amekamatwa na TAKUKURU, huku taratibu za kumfikisha Mahakamani zikiendelea

Januari 18, 2022 Askari huyo wa Usalama Barabarani alikamatwa akipokea Rushwa inayofikia Tsh. 152,000 eneo la Ipogoro barabara ya Mbeya - Iringa kutoka kwenye Magari

Kamanda wa TAKUKURU Mkoani Iringa, Domina Mukama amesema alikamatwa akiwa anapokea Fedha kutoka kwenye Mabasi, na Fedha hazikukutwa kwenye gari bali alikaguliwa kwenye mavazi yake na kisha zikawekwa


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad