Azam FC Yatangulia Fainali Mapinduzi CUP, Yanga Wapanda Meli Kurudi Dar



Azam FC imefanikiwa kuingia fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Yanga kwa penati katika mchezo wa nusu fainali.

Azam FC wameingia fainali kwa ushindi wa penati 9-8 baada ya matokeo ya 0-0 katika dakika 90.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad