Baada ya Paula Rayvanny Ahamisha Mpenzi kwa Abby Chams??



Ocober 2021 msanii @rayvanny aliachia EP yake inayoitwa NEW CHUI na @abby_chams akishirikishwa kwenye wimbo unaoitwa STAY unaopatikana kwenye EP hiyo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, msanii Rayvanny ameachia picha flani hivi ya kimahaba akiwa na Chams.

Uwenda tukakutana na video ya wimbo wa Stay kutoka kwa Rayvanny baada ya Rara, ama uwenda pia ikawa ni Project ya Chams akimpa shavu Chui.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad