Baba LEVO Akiri Kuwa Wimbo wa Harmonize "Teacher" Ndio Amapiano Bora Mwaka 2021


Ni headlines za mtangazaji kutoka wasafi media na mwanamuziki @officialbabalevo ,ambae amekiri kuwa katika mwaka 2021 katika nyimbo za Amapiano wimbo wa Teacher' kutoka kwa @harmonize_tz ulikua wimbo mkali zaidi wa amapiano kwa tanzania.

B'levo a.k.a. Fundi majumba amethibitisha hilo kwenye mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni, huku akimpinga mwanamuziki @marioo_tz kuwa kama kungekuwa na tuzo basi singepata tuzo hata moja ,kwa madai ya kuwepo kwa ngoma kali za amapiano kumzidi yeye.

Unakubaliana na mtazamo wake..?!

C©✍🏾@keviiiy.iam


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad