Rayvanny , Paula Kajala na Fahyvanny Wametajwa Kupata Tuzo za Afro Swagga


Baby mama wa mwanamuziki @rayvanny ,@fahyvanny na mpenzi wake wa sasa @therealpaulahkajala kwa pomoja wametajwa kupata tuzo za 'AfroSwagga Awards 2021' tuzo zinazo husu maswala ya mtindo/fashion.


Katia tuzo hizo mwanamuziki @rayvanny nq mpenzi wake @therealpaulahkajala kwa pamoja wamesinda tuzo hiyo katika kipengele cha 'Best Fashionable Couple Of the Year' ,huku @fahyvanny  yeye akishinda katika kipengele cha "Best Red Carpet Event Sensation".


Mbali na hivyo pia mrembo wa rayvanny #paula ameshinda pia tuzo hiyo katika kipengele cha 'Best Upcoming Fashion Influencer' huku watu wengine maarufu kama Gigy-Money, Chris Mziwanda, Mange kimambi na #hamisamobetto wakishinda tuzo hiyo pia.


C©✍🏾@keviiiy.iam

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad