Binti Aliyemuua Mama yake Moshi Kisa Mali Alichimba Shimo Hili la Futi Mbili na Kumfukia


Hili ni shimo la takribani futi mbili kwa tano kuliko kutwa mabaki ya mwili unaodaiwa kuwa wa Patricia Ibreck aliyeuawa na mtoto wake kike.

Shimo hili liko kando ya mti wa mwembe nyumbani kwa mama huyu anayedaiwa kuuawa kabla ya kufukiwa katika shimo hili.

Tukio hili limetokea kijiji cha Rau Mrukuti kata ya Uru kusini wilaya ya Moshi.

Watuhumiwa wa tukio hili wanashikiliwa na jeshi la Polisi kwa mahojiano zaidi na kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro atatoa taarifa zaidi ya tukio hili.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad