Jeshi nchini Burkina Fasso limetangaza kupitia TV kuwa limechukua Mamlaka na kumuondoa madarakani Rais Roch Kabore, Wanajeshi hao wamesema Serikali na Bunge vyote vimevunjwa, bado Rais hajulikani yuko wapi ingawa inaaminika yupo kizuizini chini ya Jeshi.