Klabu ya Simba imemtangaza mtangazaji kijana @ahmedally_ kuwa Afisa Habari Mpya.
Kabla ya kutangazwa kuwa Afisa Habari wa Simba, Ahmed Ally alikuwa mtangazaji wa Azam TV, lakini kabla ya hapo aliwahi kufanya kazi kwa muda mrefu kwenye kampuni ya Sahara Media [Radio Free Africa na Star TV].
Hongera sana @ahmedally_ kila la heri kwenye majukumu yako mapya.