Breaking News:Simba Wamtambulisha CHAMA Rasmi...."Welcome Back Home"



Uongozi wa Simba SC utamtangaza mchezaji aliyesajiliwa na klabu hiyo katika kipindi hiki cha Dirisha Dogo la Usajili leo Ijumaa (Januari 14) mishale ya saa Saba Mchana.

Simba SC imetoa taarifa hizo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii


Kupitia Ukurasa Rasmi was Simba Huko Instagram, Simba wamepost Picha ya Chama na Kuandika haya"

 Karibu nyumbani, Clatous Chama.
@realclatouschama | #Chama #NguvuMoja
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad