CCM imetangaza mchakato wa kumpata spika mpya wa Bunge la Tanzania


CCM imetangaza mchakato wa kumpata spika mpya wa Bunge la Tanzania ambao utaanza Januari 10, 2022 kwa wenye nia kuchukua fomu, na kuhitimishwa mwisho wa mwezi kwa wabunge wa chama hicho kupiga kura za kumpitisha mgombea.


Uchaguzi utafanyika katika mkutano wa sita wa Bunge.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad