CCM "Rais Samia Atafungua Uchumi wa Mmoja Mmoja



CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kazi zote zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwatumikia Watanzania ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi na zina baraka za chama hicho.

Imeelezwa kuwa Rais Samia amedhamiria kufungua uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja jambo ambalo limejidhihirisha kwa vitendo kupitia utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Hayo yamesemwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka (@shakazulu36 ) katika dua maalumu ya kumuombea Rais Samia iliyofanyika Magomeni jijini Dar es Salaam, jana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad