Chris Brown Kwenye Tuhuma Nzito za Ubakaji Nyumbani Kwa Mwanamuziki P Didy


Star wa muziki wa RnB & Pop Duniani #ChrisBrown anashtakiwa kwa tuhuma za kumbaka mwanamke kwenye boti iliyokuwa imeegeshwa nyumbani kwa rapper mkongwe P-Diddy.

Kulingana na TMZ, Chris Brown anadaiwa kumlawiti mwanamke aliyetajwa kwa jina la Jane Doe kwenye boti iliyokuwa imeegeshwa nyumbani kwa Diddy's huko Star Island ..na wimbaji huyo anashtakiwa na Jane Doe ambaye anasema yeye ni mtaalamu wa choreographer, dancer, mwanamitindo na msanii wa muziki ...

Mwanamke huyo Jane anadai Chris alitok kwenye hali ya urafiki na kumbaka kwa dakika chache, na tayari anamshtaki Chris kwa kudai fidia ya dola milioni $20 sawa na 46,200,000,000.00 za kitanzania... akidai kuwa kitendo hicho kimemletea mfadhaiko mkubwa wa kihisia.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad