Davido Aanika Kiasi Cha PESA Alichokipata Mwaka Uliopita Kutokana na Muziki..Hakika Wengine Tunasindikiza Dunia
0
January 03, 2022
Davido ameanika wazi kiasi cha pesa ambacho aliingiza kwa mwaka 2021 kupitia muziki na dili mbali mbali. Kwenye insta story yake jana, Davido aliweka wazi kuwa alitengeneza kiasi cha ($22.3 million) ambazo ni zaidi ya TSh. Bilioni 51.4 katika kipindi cha mwaka mmoja pekee.
Tags