DC Shinyanga amcharukia Mkandarasi SGR



Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko ametoa maagizo kwa wasimamizi wa mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Mwanza hadi Isaka eneo la Didia Halmashauri ya Shinyanga kushughulikia changamoto ya wafanyakazi kutopewa mikataba.
Hatua hiyo imekuja baada wafanyakazi wanaotekeleza ujenzi wa mradi huo kuiomba serikali kuingilia kati madai yao ya kutopewa mikataba,kunyimwa vifaa vya kazi na kunyanyaswa na mkandarasi wa Kampuni ya CCECC ili waweze kupata haki zao.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad