Diamond Apewe Sifa Anapostahili



KOMEDIANI kutoka nchini Kenya, Eric Omondi anasema kuwa, kwa ukanda wa Afrika Mashariki, msanii Nasibu Abdul almaarufu Diamond Platnumz ndiye msanii anayestahili kupewa sifa anazostahili.

Omondi anasema; “Wizkid alijaza 02 Arena (ukumbi mkubwa jijini London, Uingereza) siku 3 na Chris Brown (msanii Marekani) alikuwepo.

“Burna Boy (msanii wa Nigeria) anashinda Grammys (Tuzo za Grammy) kila mwaka, Kenya wanawakilishwa kwenye Michezo ya Olimpiki ya muziki wa Kiafrika na mwanafunzi wa kidato cha pili mwenye miaka 14.

“Mwanamuziki pekee wa Afrika Mashariki ninayemkubali ni Diamond Platnumz (tumpe sifa pale anapostahili Chibu anajaribu), Sauti Sol wanajaribu, lakini haitoshi.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad