Kutoka insta story ya mama wa mwanamuziki Diamond Platnumz @mama_dangote anaandika maneno ya kumshukuru mtoto wake kwa kumzawadia zawadi ya cheni yenye thamani ya zaidi ya 110,688,000.00 (110.6) kwa fedha ya kitanzania.
“Kuzaa kuzuri, Asante baba wng Naseeb Kichwa @diamondplatnumz 48.000$” anaandika @mama_dangote