Anaandika mtangazaji maarufu wa vipindi vya mahusino kutoka Wasafi Media @divatheebawse kupitia ukurasa wake wa Instagram, akitoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya mambo na matendo kwenye mahusiano pamoja na tafsiri tofauti kuhusu neno kudanga.
Katika post yake hiyo ndefu Diva ameeleza kuwa yeye binafsi kama mtu akimpa hela baada ya tendo , basi atamrudishia na hato-ongea tena na mtu huyo kwakuwa itakuwa kama amemlipa ujira baada huduma fulani, jambo ambalo amelitaja sawa na ukosefu wa heshima ,na ni heri kumnunulia ice cream kuliko kumpa hela baada ya tendo.
C©✍🏾@keviiiy.iam