Kutoka kwa mtangazaji @divatheebawse ikufikie kuwa mtangazaji huyo wa Wasafi media hapendi kabisa mwanaume ambae hawezi kuzungumza lugha ya kingereza , yaani mwanaume anae ongea lugha ya kiswahili haswa katika mapenzi.
Diva amebainisha hilo kupitia insta story yake akijibu moja kati ya maswali kutoka kwa mashabiki zake aliyetaka kujua kujua kuhusu swala hilo pamoja na kama anaweza kumsaliti mwanaume mwenye tabia hizo.
Mbali na hilo mtangazaji huyo wa kipindi cha #lavidavi ameongeza kuwa usaliti ni chaguo na kama mwanaume anae mtaka hatokua na vigezo hivyo basi haoni sababu ya kitomsaliti.